Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Darsa la Kiroho kwa Wanafunzi Mabinti wa Hawzat ya Hazrat Zainab (sa), chini ya usimamizi wa Jami'at Al-Mustafa International – Tawi la Dar es Salaam, Tanzania.
22 Mei 2025 - 16:28
News ID: 1691611
Hawzat hii imejikita katika kuwakuza wanafunzi wake wa kike katika maadili safi ya Kiislamu, ili kuwajenga kuwa wanawake bora kama vile Uislamu unavyomtaka mwanamke mwema awe.
Kwa hakika, mabinti hawa leo ni wanafunzi, lakini kesho watakuwa mabalozi wa kweli wa maadili ya mwanamke wa Kiislamu katika familia na jamii zao.
Your Comment